WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na kiungo Mkenya, Shaphan Oyugi Siwa dakika ya 42 na mshambuliaji Mganda, Peter Lwasa dakika ya 63, wakati bao pekee la Pamba Jiji limefungwa na mshambuliaji Mkenya, Mathew Tegisi Momanyi dakika ya 17.
Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 14, ikizidiwa pointi tatu na Pamba iliyopo nafasi ya 13 katika ligi ya timu 16.
Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka Daraja na mbili nyingine zitakazomaliza nafasi ya 14 na 13 zitamenyana baina yao na mshindi wa jumla atasalia Ligi Kuu, wakati timu itakayofungwa itakwenda kumenyana na timu ya Championship kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/C81Q5j0
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KAGERA SUGAR YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 KAITABA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/03/kagera-sugar-yaichapa-pamba-jiji-2-1.html. Terimakasih atas perhatiannya.