Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao manne dakika za 30, 34, 57 na 65 katika ushindi wa 9-0 dhidi ya Burton Albion kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England jana Uwanja wa Etihad.
Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya tano, Oleksandr Zinchenko dakika ya 37, Phil Foden dakika ya 62, Kyle Walker dakika ya 70 na Riyad Mahrez dakika ya 83.
Timu hizo zitarudiana Januari 23 Uwanja wa Eton Park huku City ikiwa kwenye nafasi nzuri ya kwenda fainali ya nne ya Carabao Cup ndani ya miaka sita ambako itakutana na mshindi wa jumla kati ya Tottenham na Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2RFluVM
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms