MSHAMBULIAJI Herman Tsinga alifariki dunia Jumamosi wakati akiichezea klabu yake, Akanda FC katika Ligi Daraja la Kwanza Gabon mjini Libreville.
Taarifa za za vyombo vya Habari zimesema kwamba Tsinga, tegemeo la Akanda FC, alizimia dakika ya 23 wakati wa mchezo dhidi ya Missile FC, gazeti la kila siku la Union limeripoti.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 ilielezwa alipatwa tatizo la moyo kwa mujibu wa Daktari wa Jeshi, lakini akafariki akiwa njiani anakimbizwa hospitali.
Video ya kiwango cha chini iliyopostiwa Twitter inaonyesha mkanganyiko wa hatua zilizochukuliwa baada ya Tsinga karibu na katikati ya Uwanja.
Kwa mujibu wa gazeti la Union, hakuna kati ya ambulances mbili zilizokuwepo kwenye eneo la tukio lilikuwa na kifaa cha oxygen ili kuokoa maisha ya mchezaji huyo.
Hicho kinakuwa kifo cha saba ndani ya miaka 12 kwenye soka ya Gabon kwa mujibu wa gazeti la Union.
Mechi hiyo ilikuwa ni sehemu ya mzunguko wa pili wa ligi, ambao ulianza Februari kufuatia kuchelewa kwa miezi nane hadi kampuni ya Mafuta Gabon ilipokubali kudhamini michuano hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2XGv3nN
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms