David Neres akipiga shuti kumtungua kipa Thibaut Courtois kuifungia bao la pili Ajax dakika ya 18 baada ya kupokea pasi ya Dusan Tadic katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Real Madrid usiku wa jana kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Ajax yamefungwa na Hakim Ziyech dakika ya saba, Dusan Tadic dakika ya 62 na Lasse Schone dakika ya 72, wakati la Real Madrid limefungwa na Marco Asensio dakika ya 70.
Kwa matokeo hayo, Ajax inasonga mbele kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-3 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Amsterdam PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2TrZSx6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms