Na Dominick salamba, DAR ES SALAAM
KUMEKUWA na tambo, vijembe na dhihaka mbalimbali baina ya mashabiki wa soka huku kila mmoja akijinasibu kuwa timu yake ndio imeweka kambi ya maandalizi ya msimu katika eneo bora na kudhihaki kambi ya upande mwingine.
Si jambo baya maana ndiyo miongoni mwa mambo yanayoleta msisimko na kuchochea hali ya ushindani baina ya timu moja na nyingine. Hivyo nimeona nikupe kidogo mambo ya muhimu ili hata ikitokea timu yako kutofanya vizuri uwe na uwanja mpana wa kipima na kujua kama kipindi cha maandalizi mambo ya msingi yalizingatiwa, na je kambi ilikuwa sehemu sahihi?ilipendekezwa na benchi la ufundi?vifaa muhimu vya kujifunzia vilipatikana?utulivu ulikuwepo?na mengine mengi badala ya kuanza kuangalia kambi mmenda na bajaji,bodaboda,gari au ndege.
Kuna wakati tumeshudia timu zikianzia ufukweni,na maeneo mengine hasa waalimu wakiangalia zaidi maeneo ambayo wanatamani kuyaboresha kuzingatia ripoti ya msimu uliyopita lakini pia kuzingatia aina ya wachezaji walipo,na wale ambao wamesajiliwa uku idadi ya waliongezwa na waliopo kikiwa ni miongoni mwa vigezo muhimu katika kuangalia aina ya maandalizi ya msimu ujao. GONGA HAPA KUSOMA ZAIDI
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Z3WAzt
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA WA LIGI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/07/mambo-ya-kuzingatia-katika-maandalizi.html. Terimakasih atas perhatiannya.