WACHEZAJI wa kikosi cha Tanzania Bara wakiwa mjini Berlin nchini Ujerumani Oktoba mwaka 1987 walipoweka kambi kujiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge iliyofanyika nchini Ethiopia mwaka 1987. Kutoka kulia waliosimama ni Abeid Mziba, Mavumbi Omar (marehemu), Khalfan Ngassa, Michael Kidilu, Hussein Mwakuruzo, John Makelele na Raphael John.
Walioketi kutoka kulia ni Sanifu Lazaro, Raphael Paul (marehemu), Edgar Fongo, Said John, Yassin Napili, Issa Athumani (marehemu) na waliopiga magoti ni makipa John Bosco (kulia) na Sahau Kambi (kushoto).
Pamoja na kambi ya Ujerumani, Kilimanjaro Stars ilitolewa mapema baada ya sare 0-0 na wenyeji, Ethiopia kabla ya kufungwa mechi mbili zilizofuata 3-2 na Kenya na 2-0 na Zanzibar, hivyo kushika mkia Kundi A.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2qncqJ5
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang STARS ILIYOWEKA KAMBI UJERUMANI IKAENDA KUVURUNDA CHALLENGE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/10/stars-iliyoweka-kambi-ujerumani-ikaenda.html. Terimakasih atas perhatiannya.