TIMU ya Ubelgiji imetoa sare ya bila mabao na Iran katika mchezo wa Kundi G Fainali za Kombe la Dunia usiku wa kuamkia leo Uwanja wa SoFi, Inglewood, Los Angeles, California, Marekani.
Mchezo mwingine wa kundi hilo, Misri imeichapa New Zealand mabao 3-1 Asubuhi ya leo Uwanja wa BC Place, Vancouver nchini Canada.
New Zealand waliuanza vyema na kwa bahati mchezo huo wakianza kupata bao lililofungwa na beki wao tegeo wa kati, Finn Surman mzaliwa wa Wales anayechezea klabu ya Portland Timbers ya Marekani aliyefunga dakika ya 15 tu.
Lakini Misri ikazinduka kwa mabao ya winga wa Pyramids ya kwao, Mostafa Mohamed Zaky Abdelraouf ‘Ziko’ dakika ya 58, kiungo mshambuliaji wa Liverpool ya England na Nahodha, Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly dakika ya 67 na winga wa Al Ahly ya nyumbani, Mahmoud Ahmed Ibrahim Hassan ‘Trézeguet’dakika ya 82.
Msimamo wa Kundi G sasa ni Misri ipo kileleni kwa pointi zake nne ikifuatiwa na Iran na Ubelgiji zenye pointi mbili kila moja, wakati New Zealand yenye pointi moja inashika mkia.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/kLTXBaE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms