TIMU ya Senegal imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17(AFCON U17) baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Tanzania kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 usiku huu Uwanja wa Moulay El Hassan Jijini Rabat nchini Morocco.
Kiungo Hamisi Chenga Mihambo alianza kuifungia Serengeti Boys dakika ya saba, kabla ya mshambuliaji Ibrahima Dione kuwasawazishia Young Lions of Teranga dakika ya 64, dakika mbili tu baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Cheikh Omar Sy.
Katika mikwaju ya penalti leo haikuwa siku nzuri kwa chipukizi wa Kitanzania, mabeki Idrisa Kasim Kilendemo akipiga juu na Hussein Ally Mbegu yake ikiokolewa na kipa Serigne Diouf anayefahamika zaidi kwa jina la Assane Sarr.
Waliofunga penalti za Simba Wadogo wa Teranga ni Souleymane Commissaire Faye, Émile Niaga Sadio, Ibrahima Dione na Cheikh Thior huku za Serengeti Boys zikifungwa na Elick Shaban Yusuph na Razaki Juma Mbegelend pekee.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/nxUfCTj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NI SENEGAL MABINGWA WA AFCON. SERENGETI BOYS YAFA KWA MATUTA . Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/06/ni-senegal-mabingwa-wa-afcon-serengeti.html. Terimakasih atas perhatiannya.