MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara nuliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar jioni ya leo.
Mabao ya Yanga yamefunwa na beki Ibrahim Hamad Abdullah ‘Bacca’ dakika ya 41, mshambuliaji Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’ kutoka Angola dakika ya 73 na kiungo Muivory Coast, Peodoh Pacome Zouzoua dakika ya 81.
Kwa ushindi huo, Yanga SC wanafikisha pointi 69 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi mbili Zaidi ya watani wao, Simba baada ya timu hizo zote kucheza mechi 28 kuelekea mechi mbili za kukamilisha msimu.
Kwa upande wao Azam FC baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 58 wakibaki pia katika nafasi ya tatu mbele ya Singida Black Stars yenye pointi 50 kufuatia timu hizo nazo kucheza mechi 28.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/71SBPuU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms