TIMU ya Ufaransa imeanza vyema Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Senegal katika mchezo wa Kundi I usiku huu Uwanja wa MetLife Stadium, East Rutherford, f New Jersey, New York City, Marekani.
Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé Lottin mwenye asili ya Cameroon amefunga mabao mawili dakika ya 66 na 90’+6 huku bao lingine la Les Bleus likifungwa na mshambuliaji wa Paris Saint-Germain ya nyumbani, Paris – Bradley Jean-Manuel Essolisam Addo Barcola mwenye asili ya Togo dakika ya 82.
Bao pekee la Senegal lilifungwa na mshambuliaji mwingine wa Paris Saint-Germain, Ibrahim Mbaye mzaliwa wa Ufaransa na ambaye awali alichezea timu za taifa za vijana nchi hiyo ya Ulaya dakika ya 90’+5.
Ibrahim Mbaye pamoja na kuzaliwa Ufaransa – lakini mama yake ni Mmorocco na baba yake ndiye Msenegal.
Mechi nyingine ya kundi hilo inafuatia muda huu kati ya Iraq na Norway Uwanja wa Gillette, Foxborough, Norfolk County, Massachusetts, Marekani.
Mbappe aliyeanza kucheza timu ya taifa ya wakubwa mwaka 2017 – leo amevunja rekodi ya ufungaji wa mabao mengi wa muda wote Ufaransa, akifikisha mabao 58, moja zaidi ya mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Olivier Giroud aliyefunga mabao 57 kati ya 2011 na 2024.
Aidha, kwa kufikisha mabao 14 ameipiku rekodi ya Just Louis Fontaine mwenye asili ya Morocco ya mchezaji aliyeifungia Ufaransa mabao mengi zaidi kwenye Fainali za Kombe la Dunia, ambaye alifunga mabao 13 yote kwenye Fainali za 1958 nchini Sweden na sasa anahitaji kufunga mabao mawili zaidi ili kufikia rekodi ya mfungaji Bora wa jumla wa Kombe la Dunua wa muda wote inayoshikiliwa na Mjerumani, Miroslav Josef Klose mwenye mabao 16.
Mchezo mwingine wa Kundi I unaendelea muda huu Uwanja wa Gillette, Foxborough, Norfolk County, Massachusetts, Marekani kati ya Iraq na Norway.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/OtQa1ZH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms