Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd na Joseph Kimwaga, waliokuwa majeruhi sasa huenda wakarejea dimbani Januari Mosi mwakani wakati timu hiyo ikishiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.
Mbali na kufanya programu ya mazoezi ya gym, Idd tayari ameruhusiwa kuanza mazoezi madogo madogo ya kucheza na mpira na kukimbia mwanzoni mwa wiki hii huku Kimwaga akiendelea na mazoezi ya gym aliyoanza mwezi mmoja uliopita.
Daktari wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa, amesema kwamba wachezaji hao wapo kwenye kipindi cha mwisho cha tiba yao cha kuwarejesha katika hali yao ya kawaida huku akidokeza Idd ataendelea na programu hiyo na anatarajiwa kurejea dimbani kuanzia Januari Mosi.
Shaaban Iddi anaweza akarejea kwenye kikosi cha Azam FC wakati wa Kombe la Mapinduzi
“Kimwaga kidogo kumetokea matatizo kidogo katika ukunjaji wa goti lake baada ya operesheni kwa hiyo sasa hivi bado anafanya mazoezi ya kukunja goti na pindi atakapokuwa ameweza kukunja goti vizuri naye ataruhusiwa kuanza kucheza mpira kidogo kidogo na kukimbia naye pia tutamtarajia itakapofika Januari Mosi atarudi tena kiwanjani kwenye ushindani,” alisema.
Idd anasumbuliwa na majeraha ya nyonga yake ya mguu wa kulia huku Kimwaga akisumbuliwa na goti la mguu wa kushoto kwa pamoja walifanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini na tokea waanze mazoezi ya gym wamekuwa chini ya uangalizi wa daktari wa Azam FC na wataalamu wa Kliniki ya London Health Centre, iliyopo eneo la Macho, Msasani jijini Dar es Salaam wanakofanya mazoezi ya gym.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2i7kslw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SHAABAN IDDI NA KIMWAGA KUREJEA AZAM KOMBE LA MAPINDUZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/11/shaaban-iddi-na-kimwaga-kurejea-azam.html. Terimakasih atas perhatiannya.