Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC na Lipuli ya Iringa uliokuwa uchezwe Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam umerudishwa Uwanja wa Uhuru.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniphace Wambura amesema hayo katika mkutano na Waandishi wa Habari ofisi za shirikisho hilo zilizopo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Wambura alisema awali wamiliki wa Uwanja wa Uhuru walisema Jumamosi na Jumapili Uwanja huo utakuwa na shughuli nyingine, lakini jana wakawaambia Jumapili Uwanja utakuwa wazi hivyo wakaamua kuurudisha mchezo wa Simba kwenye Uwanja huo.
Mchezo kayi ya Yanga SC na Tanzania Prisons ya Mbeya wenyewe utachezwa Chamazi kama ilivyoelezwa awali.
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itaendelea kesho, wenyeji Ndanda FC wakiwakaribisha Njombe Mji FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara na Jumamosi mbali ya Yanga kuikaribisha Tanzania Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam na Singida United watakuwa wenyeji wa Mbeya City Uwanja wa Namfua, Singida.
Mechi nyingine za jumamosi, Mbao FC wataikaribisha Mwadui FC Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, Kagera Sugar wataikaribisha Stand United Uwanja wa kambarage Shinyanga na Ruvu Shooting watakuwa wenyeji wa Maji Maji Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.
Mzunguko wa 11 wa Ligi Kuu inayoonyeshwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam TV utakamilishwa Jumatatu ijayo kwa mchezo mmoja kati ya wenyeji, Azam FC na Mtibwa Sugar Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2jQgPRN
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MECHI YA SIMBA NA LIPULI YARUDISHWA UWANJA WA UHURU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/11/mechi-ya-simba-na-lipuli-yarudishwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.