TIMU ya wasichana ya Tanzania imeshinda mechi zake zote mbili za Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA, wakati wavulana wamefungwa moja na kutoa sare moja.
Michuano hiyo ya African Schools Football Championship CECAFA Zone (ASFCCQ ) upande wa wasichana Tanzania ilianza kwa kuichapa Sudan Kusini 2-1, kabla ya kuitandika Djibouti 6-0 Uwanja wa FUFA Kadiba, Mengo, Rubaga Jijini Kampala nchini Kampala, Uganda.
Wavulana walianza kwa kuchapwa 1-0 na Ethiopia kabla ya kutoa sare ya 0-0 n Rwanda Uwanja wa St. Mary's-Kitende, Wakiso, Barabara ya Entebbe, Uganda.

Michuano hiyo itaendelea kesho na wavulana watakamilisha mechi zao za Hatua ya awali kwa kumenyana na Sudan Kusini hapo hapo St. Mary's-Kitende na wasichana watamenyana na Ethiopia hapo hapo Uwanja wa FUFA Kadiba.
Nusu Fainali zitafuatia Jumatatu na Fainali na mechi ya kusaka mshindi wa tatu ni Jumanne.
Bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha CECAFA katika mashindano ya Afrika.
Ikumbukwe Tanzania ndio mabingwa wa Afrika kwa wanaume na kwa wasichana bingwa ni Ghana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/ncPTpH6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms