TUNISIA imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uganda usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Olimpiki Jijini Rabat nchini Morocco.
Mabao ya Eagles of Carthage yamefungwa na viungo, Ellyes Joris Skhiri wa Eintracht Frankfurt ya Ujerumani dakika ya 10 na Mohamed Elias Achouri wa FC Copenhagen ya Denmark mawili dakika ya 40 na 64, wakati la The Cranes lilifungwa na mshambuliaji wa APR ya Rwanda, Denis Omedi dakika ya 90’+2.
Ikumbukwe mechi ya kwanza ya Kundi C jana Nigeria iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Uwanja wa Fez mjini Fez nchini Morocco.
Mabao ya Super Eagles yalifungwa na beki wa Hull City ya England, Oluwasemilogo Adesewo Ibidapo "Semi" Ajayi dakika ya 36 na winga wa Atalanta ya Italia, Ademola Lookman Olajade Alade Ayoola Lookman dakika ya 52, wakati la Taifa Stars limefungwa na kiungo wa Floriana ya Malta, Kokola Charles William M'Mombwa dakika ya 50.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/g1f3IMw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MO ACHOURI APIGA MBILI TUNISIA YAICHAPA UGANDA 3-1 AFCON. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/12/mo-achouri-apiga-mbili-tunisia-yaichapa.html. Terimakasih atas perhatiannya.