
KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi ametaja kikosi cha mwisho cha wachezaji 28 wa Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia Desemba 21 hadi Januari 18, mwakani.
Taifa Stars imeweka kambi nchini Misri tangu jana kujiandaa na AFCON hadi Desemba 18 itakapoondoka kwenda Morocco tayari kwa Fainali hizo hizo za 35 za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Taifa Stars ambayo inashiriki Fainali hizo kwa mara ya nne baada ya 1980 Nigeria, 2019 Misri na 2023 Ivory Coast — imepangwa Kundi C pamoja na Nigeria, Tunisia na Uganda.
Katika Fainali zote zilizotangulia Taifa Stars imekuwa ikitolewa hatua ya makundi - tena bila kushinda mechi hata moja wakitoa sare na kufungwa.
Mwaka 1980 walifungwa 3-1 na Nigeria na 2-1 na Misri pamoja na Sara ya 1-1 na Ivory Coast, 2019 walifungwa mechi zote, 2-0 na Senegal, 3-2 na Kenya na 3-0 na Algeria — wakati mwaka 2023 walifungwa mechi moja, 3-0 na Morocco na sare za 1-1 na Zambia na 0-0 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/sGRM9no
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang GAMONDI AFICHUA JESHI LAKE LA AFCON YA MOROCCO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/12/gamondi-afichua-jeshi-lake-la-afcon-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.