WINGA wa Wydad Athletics ya Morocco anayecheza kwa mkopo Simba SC, Sumeiman Mwalimu ‘Gomez’ ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.
Kocha Muargentina, Miguel Angel Gamondi amemuongeza Mwalimu kwenye kikosi hicho kilichoweka kambi nchini Misri kuziba nafasi ya mchezaji wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ ambaye ni majeruhi.
Katika Fainali hizo za AFCON zinazotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia Desemba 21 hadi Januari 18, mwakani — Taifa Stars imepangwa Kundi C pamoja na Nigeria, Tunisia na Uganda.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/40MKnfu
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SULEIMAN MWALIMU AONGEZWA TAIFA STARS. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/12/suleiman-mwalimu-aongezwa-taifa-stars.html. Terimakasih atas perhatiannya.