
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga leo yamefungwa na washambuliaji, Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo mawili, dakika ya pili na 46, Clement Francis Mzize dakika ya sita na 43, viungo, Muivory Coast Pacome Peodoh Zouzoua dakika ya 39 na Mkenya, Duke Ooga Abuya dakika ya 84.
Bao pekee la Kengold katika mchezo wa leo limefungwa dakika ya 90’+3 na kiungo mpya, Suleiman Bwenzi aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Mbeya Kwanza ya Championship.
Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 45 katika mchezo wa 17 na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ikiwazidi pointi mbili watani, Simba SC ambao pia wana mechi moja mkononi na kesho wanaweza kuurejea uongozi wakiifunga Fountain Gate huko Babati.
Kengold hali inazidi kuwa mbaya baada ya matokeo ya leo katika mchezo wa 17 wa msimu ikibaki na pointi zake sita tu na inaendelea kushika mkia katika ligi ya timu 16.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/aLT7UDY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MZIZE NA DUBE KILA MMOJA APIGA MBILI YANGA YASHINDA 6-1. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/02/mzize-na-dube-kila-mmoja-apiga-mbili.html. Terimakasih atas perhatiannya.