
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, Twiga Stars imefanikiwa kusonga mbeke katika hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwnaia tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, (WAFCON) 2026.
Hiyo ni baada ya sare ya 1-1 na wenyeji, Equtorial Guinea katika mchezo wa marudiano Raundi ya Kwanza kufuzu WAFCON 2026 Uwanja wa Malabo mjini Malabo.
Twiga Stars inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia ushindi wa mabao 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Alhamisi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Twiga Stars sasa itakutana na Ethiopia iliyoitoa Uganda kwa penalti 2-0 jana Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa kufuatia ushindi wa 2-0 uliofanya sare ya jumla ya 2-2 baada ya wao pia kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Hamz, Nakivubo Jijini Kampala.
Tayari Twiga Stars wana tiketi ya kushiriki Fainali za baadaye mwaka huu za WAFCON, ambazo zitafanyika nchini Morocco pia kuanzia Julai 5 hadi 26.
Kihistoria Twiga Stars imewahi kushiriki Fainali za Afrika mara moja tum waka 2010 nchini Afrika Kusini, ambako ilipiteza mechi zake zote za Kundi A, ikifungwa na wenyeji, Banyana Banyana 2-1, na Mali 3-2 na Nigeria 3-0.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Ma4mA5b
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TWIGA STARS YAITOA EQUTORIAL GUINEA, SASA KUIVAA ETHIOPIA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/02/twiga-stars-yaitoa-equtorial-guinea.html. Terimakasih atas perhatiannya.