TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ‘Léopards Dames’ katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam.
Mabao yote ya Twiga Stars yamefungwa na mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Cleitus Luvanga dakika ya 28 na 88, wakati bao pekee la Léopards Dames limefungwa na mshambuliaji Esther Dikisha Bushiri wa TP Mazembe ya kwao, Lubumbashi dakika ya 72.
Timu hizi zitarudiana tena Juni 3 hapo hapo Azam Complex - hayo yakiwa maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) kwa timu zote zinazotarajiwa kuanza Julai 5 hadi 26, mwaka huu nchini Morocco.
Tanzania imepangwa Kundi C pamoja na Afrika Kusini, Ghana na Mali, wakati DRC ipo Kundi A pamoja na wenyeji, Morocco, Zambia na Senegal na Kundi B kuna Nigeria, Tunisia, Algeria na Botswana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/0uTI3HZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CLARA AFUNGA MAWILI TWIGA STARS YAICHAPA DRC 2-1 CHAMAZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/05/clara-afunga-mawili-twiga-stars.html. Terimakasih atas perhatiannya.