
KLABU ya Simba SC imeafiki kucheza mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RSB Berkane ya Morocco Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Awali mechi hiyo ilipangwa kufanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Jumamosi wiki hii — lakini CAF ikaagiza uhamishiwe Zanzibar, ingawa awali Simba walipinga.
Taarifa ya CAF iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa Uswisi pia, Veron Mosengo-Omba sababu za mabadiliko hayo ni Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao upo katika marekebisho wakati huu kutokuwa tayari kwa mchezo huo Mei 25.
Barua hiyo ya Mosengo-Omba iliyoelekezwa kwa Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba taarifa za kina na za Kitaalamu za wakaguzi wa CAF zinaonyesha Uwanja huo hautakuwa tayari kwa matumizi ya mchezo huo mkubwa wiki ijayo, hususan kutokana na tatizo kubwa la Pitch yake na mvua zinazoendelea hivi sasa Dar es Salaam.
Mechi hiyo itaanza Saa 10:00 jioni na Simba unatakiwa kushinda 3-0 baada ya kufungwa 2-0 kwenye mechi ya kwanza Jumamosi ya juzi Uwanja wa Manispaa ya Berkane mjini Berkane nchini Morocco.

from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/klBhHvZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/05/simba-sc-yaafiki-kucheza-zanzibar.html. Terimakasih atas perhatiannya.