WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji wa Kimataifa wa Uganda, Steven Dese Mukwala dakika ya 43 akimalizia kazi nzuri ya kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua na kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 72, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja tu na mabingwa, Yanga baada ya wote kucheza mechi 28.
SIngida Blacjk Stars inabaki na pointi zake 53 nafasi ya nne sasa ikizidiwa pointi nne na Azam FC baada ya wote kucheza mechi 28.
Baada ya mchezo wa leo, timu zote zitasafiri kwenda Babati mkoani Manyara kwa ajili ya mchezo mwingine, Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB Jumapili kuanzia Saa 9:30 Uwanja wa Tanzanite Kwaraa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/ynrHUXV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms