
TIMU ya Yanga imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano, michuano maalum ya kuazimisha sherehe za miaka 61 ya Muungano ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU usiku huu Uwanja wa Gombani, Pemba.
Shujaa wa Yanga leo ni kiungo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Maxi Mpia Nzengeli aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 45 na mabingwa hao wa Tanzania Bara wamezawadiwa Sh. Milioni.
Pamoja na kufunga bao la ushindi, Nzengeli pia ameshinda Tuzo za Mfungaji Bora kwa mabao yake mawili jumla na Nyota wa Mchezo wa leo, wakati kiungo mwenzake wa Yanga, Mudathir Yahya Abbas ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano.
JKU, mabingwa wa Zanzibar kwa kumaliza nafasi ya pili wamezawadiwa Sh. Milioni 30.
Jumla ya timu nane zimeshiriki michuano ya mwaka huu iliyoanzia hatua ya Robo Fainali, nyingine ni KMKM, Zimamoto na KVZ, zote za Zanzibar na Azam FC, Coastal Union na Singida Black Stars za Tanzania Bara.
Mabingwa wa msimu uliopita, Simba hawakushiriki michuano ya mwaka huu kwa sababu wanakabiliwa na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC ilitwaa taji la michuano hiyo iliyoanza mwaka jana kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika Fainali Uwanja wa New Amaan Complex, bao pekee la kiungo Msenegal, Babacar Sarr, dakika ya 77.
Sarr alifunga bao hilo akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na beki Israel Patrick Mwenda kufuatia mshambuliaji Mcameroon, Leandre Willy Essomba Onana kuangushwa nje kidogo ya boksi.
Msimu uliopita michuano hiyo ilishirikisha timu nne kuanzia hatua ya Nusu Fainali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/T9mgSDo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/05/ni-yanga-bingwa-kombe-la-muungano-2025.html. Terimakasih atas perhatiannya.