• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ▼  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ▼  Mei (44)
      • CLARA AFUNGA MAWILI TWIGA STARS YAICHAPA DRC 2-1 C...
      • REAL MADRID YAMSAJILI TRENT ALEXANDER-ARNOLD MIAKA...
      • TAIFA STARS KUSHIRIKI KOMBE LA COSAFA AFRIKA KUSINI
      • JOSÉ LUIS RIVEIRO NDIYE KOCHA MPYA WA AHLY
      • NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20
      • CHELSEA WATWAA UEFA CONFERENCE LEAGUE, WALITOKA NY...
      • SIMBA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 1-0 NA KUKAA...
      • LAMINE YAMAL ASAINI MKATABA MPYA MNONO BARCELONA
      • AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA V...
      • SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE ...
      • MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC...
      • NAPOLI WATWAA UBINGWA SEEIE A, INTER MIAN WASHINDW...
      • KOMBE JIPYA LA LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI HILI HAPA
      • SIMBA SC WAZURI KABURI LA HAYATI RAIS MWINYI, WATO...
      • RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA...
      • YANGA YAMPA POLE YAO NA KUMUOMBEA APONE
      • TOTTENHAM MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE
      • PSG NA REAL MADRID ZAGONGA SOKONI KUSAKA SAINI YA ...
      • AISHI MANULA ASAFIRI NA SIMBA SC ZANZIBAR MECHI NA...
      • MFUMO AMIS NA TAUSI KURAHISISHA KAZI ZA SANAA NCHINI
      • SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BER...
      • PEDRO AIPOKONYA TONGE MDOMONI INTER MILAN, 2-2 NA ...
      • YANGA SC 2-0 JKT TANZANIA (KOMBE LA TFF)
      • KMC 1-2 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA SC YALALA 2-0 KWA RSB BERKANE MOROCCO
      • CRYSTAL PALACE WATWAA KOMBE LA FA ENGLAND
      • TAIFA STARS YAVUNA POINTI ZA CHEE KOMBE LA DUNIA
      • GWIJI WA CAMEROON EMMANUEL KUNDE AFARIKI DUNIA
      • BARCELONA WATWAA TAJI LA LIGA KWA MARA YA 28
      • AHOUA APIGA 'HAT TRICK', ATEBA 'BRACE' SIMBA YAIRA...
      • NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE AFCON U20
      • BETPAWA YADHAMINI LIGI YA MPIRA WA KIKAPU DAR KWA ...
      • JKT TANZANIA 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • BODI YATOA RATIBA MPYA; SIMBA NA YANGA NI JUNI 15 ...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI MECHI ZA VIPORO
      • YANGA SC YAKAZIA; HAICHEZI NA SIMBA HAINA IMANI NA...
      • NGORONGORO HEROES YACHAPWA TENA 1-0 NA SIERRA LEO...
      • MILOUD HAMDI KOCHA BORA, KIPAGWILE MCHEZAJI BORA L...
      • SIMBA SC 2-1 MASHUJAA FC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • SIMBA SC YATOKA NYUMA KUICHAPA 2-1 MASHUJAA PUNGUFU
      • JKU 0-1 YANGA (FAINALI KOMBE LA MUUNGANO)
      • BODI KUPANGA TAREHE MPYA YA MECHI YA WATANI LIGI KUU
      • NI YANGA BINGWA KOMBE LA MUUNGANO 2025
      • HATIMAYE MBEYA CITY NAYO YAREJEA LIGI KUU
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG » SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE

SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE


NDOTO za Simba SC kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hazikutimia leo baada ya kutoa sare ya kufungana bao 1-1 na Renaissance Sportive de Berkane ya Morocco katika mchezo wa marudiano wa Fainali Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Matokeo hayo yanamaanisha RSB Berkane wanatwaa taji la CAF Confederation Cup kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kushinda mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumamosi iliyopita Uwanja wa Manispaa ya Berkane mjini Berkane.
Katika mchezo wa leo Simba SC walitangulia kwa bao la Mzambia, Joshua Mutale Budo dakika ya 17 akimalizia pasi ya winga mwenzake, Mkongo Elie Mpanzu Kibisawala – kabla ya kiungo wa Kimataifa wa Mali, Soumaila Sidibe kuisawazishia RSB Berkane dakika ya 90'+3.
Refa Dahane Beida wa Mauritania alimtoa kwa kadi nyekundu kiungo Yusuph Ally Kagoma dakika ya 50 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Mshambuliaji Mganda, Steven Dese Mukwala aliunganisha kwa kichwa mpira wa adhabu wa kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua dakika ya 76 na kufunga – licha ya refa kukubali bao hilo, lakini akabatilisha maamuzi yake baada ya msaada wa Marudio ya Picha za Video (VAR) kufuatia kughasiwa na wachezaji wa RSB Berkane.


Hii inakuwa mara ya tatu kwa RSB Berkane kutwaa CAF Confederation Cup baada yam waka 2020 na 2022, mwaka ambao pia walitwaa taji la CAF Super Cup.
Kwa Simba SC imekuwa mara ya pili wanamalizia nyumbani Fainali za CAF na kushindwa kutwaa taji baada ya mwaka 1993 pia kufungwa 2-0 na Stella Adjame ya Ivory Coast Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru Jijini Dar es Salaam kufuatia kutoa sare ya bila mabao awali Jijini Abidjan.
Kwa ujumla hii inakuwa mara ya tatu kwa timu za Tanzania kufika Fainali na kushindwa kutwaa Kombe, kwani na Yanga SC ilifika Fainali Kombe la Shirikisho Afrika mwaka juzi, 2023 nayo ilipoteza taji kwa kuruhusu mabao nyumbani baada ya sare ya juma ya 2-2, ikifungwa 2-1 Dar es Salaam na kushinda 1-0 Algeria dhidi ya USM Alger.
Pamoja na kupewa Kombe jipya, RSB Berkane wanapatiwa kitita cha Dola za Kamrekani Milioni 2, huku washindi wa pili, Simba SC wakipata Dola Milioni 1.
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Mousa Camara, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’/ Valentin Nouma dk84, Che Malone Fondoh/ Leonel Ateba dk84, Chamou Karaboue, Fabrice Ngoma, Yusuph Kagoma, Jean Charles Ahoua, Steven Mukwala, Joshua Mutale/Kibu Dennis dk71 na Elly Mpa


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/LKsiPMI best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/05/simba-sc-yaambulia-sare-1-1-zanzibar.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 11.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
    YANGA SC 6-1 KENGOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Rr0NtG3
Copyright Viral Sports: SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 ZANZIBAR, RSB BERKANE WAONDOKA NA KOMBE