
SHIRIKISHO la Soka la Afrika (CAF) kwa kushirikiana na wadhamini wake wakuu, TotalEnergies jana lilizindua Kombe jipya la Ligi ya Mabingwa ya CAF kuashiria ukurasa mpya wa hadhi wa mashindano ya klabu barani Afrika.
Uzinduzi huo ulifanyika katika Makao Makuu ya TotalEnergies ya Afrika Kusini mjini Johannesburg na kuhudhuriwa na baadhi ya magwiji wa soka barani Afrika akiwemo Lucas Radebe, Teko Modise na Siphiwe Tshabalala pamoja na viongozi kadhaa wa soka barani Afrika.
Aidha, viongozi wa klabu za Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na Pyramids ya Misri zitakazomenyana katika Fainali ya mwaka huu ya Ligi ya Mabingwa Afrika walihudhuria pia.
"Kulingana na maono ya Rais wa CAF, Dk Patrice Motsepe, tunabadilisha jina na kuweka upya kandanda ya Afrika kwa kuzingatia zaidi mashindano ya klabu kwa sasa,”.
“Taji hili la TotalEnergies CAF Champions League linaonyesha malengo yetu na hatua za ujasiri kuelekea mazingira ya kusisimua ya soka ya klabu barani Afrika. Kwa hili, tunalenga kuinua hadhi ya mashindano ya klabu Afrika ili kuibua vipaji vipya vya soka duniani," alisema Katibu wa CAF, Véron Mosengo-Omba.
Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika itachezwa Jumamosi ya kesho, Mamelodi Sundowns wakiwa wenyeji wa Pyramids kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, kabla ya timu hizo kurudiana Juni 1 Uwanja wa Jeshi la Anga wa Juni 30Jijini Cairo, Misri.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG https://ift.tt/4OeLQPl
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOMBE JIPYA LA LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI HILI HAPA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/05/kombe-jipya-la-ligi-ya-mabingwa-afrika.html. Terimakasih atas perhatiannya.