TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana huu Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mabao ya Coastal Union yote yamefungwa na viungo washambuliaji, Bakari Msimu dakika ya kwanza na 51, Shiza Kichuya dakika ya 42 na Cleophas Mkandala dakika ya 90’+5, wakati la Tanzania limefungwa na mshambuliaji George Mpole dakika ya 45’+2.
Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi 14 katika mchezo wa 14 na kuruka hadi nafasi ya tisa kutoka ya 13, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake tisa za mechi 12 sasa nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.
Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka Daraja na mbili zitakazomaliza nafasi ya 14 na 13 zitamenyana baina yao kwa mechi mbili za nyumbani na ugenini na mshindi wa jumla atasalia Ligi Kuu.
Timu itakayofungwa itakwenda kumenyana na timu kutoka Ligi ya Championship katika mechi nyingine mbili za mchujo nyumbani na ugenini na mshindi wa jumla ndiye atacheza Ligi Kuu msimu ujao.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/Si5xGwc
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms