TIMU ya TRA United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 shida ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Black Rhino Sports Complex, Karatu mkoani Arusha.
Mabao ya TRA United leo yamefungwa na mshambuliaji, Enock Jiah Mkanga mawili dakika ya 29 na 56, Amy Mapaka dakika ya 45 na beki Mzambia, Chanda Chewe dakika ya 51, wakati bao pekee la Fountain Gate limefungwa na mshambuliaji Mnigeria, Chukwunonye Obasi dakika ya 83.
Kwa ushindi huo, TRA United inafikisha pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya 10 kutoka ya 12, wakati Fountan Gate inabaki pointi zake 12 za mechi 14 sasa nafasi ya 15 kwenye Ligi ya timu 16.
Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka Daraja na mbili zitakazomaliza nafasi ya 14 na 13 zitamenyana baina yao kwa mechi mbili za nyumbani na ugenini na mshindi wa jumla atasalia Ligi Kuu.
Timu itakayofungwa itakwenda kumenyana na timu kutoka Ligi ya Championship katika mechi nyingine mbili za mchujo nyumbani na ugenini na mshindi wa jumla ndiye atacheza Ligi Kuu msimu ujao.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/GCqakh9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TRA UNITED YAICHAPA FOUNTAIN GATE 4-1 KARATU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/02/tra-united-yaichapa-fountain-gate-4-1.html. Terimakasih atas perhatiannya.