IKIONGOZWA na Kocha mpya kwa mara ya kwanza, timu ya Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Mabao ya Mashujaa FC yamefungwa na Hassan Ali dakika ya 37, Jaffar Salum Kibaya dakika ya 74 na Abdul Bakari dakika ya 90’+1, wakati la Mtibwa Sugar limefungwa na Charles Magata kwa penalti dakika ya 81.
Kwa ushindi huo, Mashujaa FC inafikisha pointi 17 katika mchezo wa 15 na kuruka hadi nafasi ya nane kutoka ya 10, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake 21 za mechi 14 Sasa nafasi ya nne.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/QueBVA2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang
. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/02/ikiongozwa-na-kocha-mpya-kwa-mara-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.