MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Bao pekee la Yanga SC leo limefungwa na mshambuliaji mpya, Laurindo Dilson Maria Aurélio 'Depu' aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Radomiak S.A., inayofahamika zaidi kama Radomiak Radom ya Poland kwa penalti dakika ya 26.
Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi 25 katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu na JKT Tanzania ambayo pia imecheza mechi 16.
Kwa upande wao, Namungo FC baada ya kupoteza mchezo wa leo wanabaki na poinyi zao 20 za mechi 15 sasa nafasi ya tano.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/vpIQn6w
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 PALE PALE RUANGWA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/02/yanga-sc-yaichapa-namungo-fc-1-0-pale.html. Terimakasih atas perhatiannya.