WENYEJI, Simba SC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Hadi mapumziko, Simba SC walikuwa mbele kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na beki wa kulia, Shomari Salum Kapombe dakika ya 39 na kiungo Yusuphu Ally Kagoma dakika ya 44.
Kipindi cha pili Esperance walizinduka na kusawazisha mabao yote kupitia kwa mshambuliaji wa Kimataifa wa Mali, Aboubacar Diakité dakika ya 64 na winga Mualgeria, Kouceila Boualia dakika ya 79.
Esperance ingeweza kushinda mchezo huo kama kama si beki wa Kimataifa wa Tunisia, Hamza Jelasi kupiga juu shuti la mkwaju wa penalti dakika ya 90’+4.
Kwa matokeo hayo Simba SC inaokota pointi ya kwanza katika mchezo wa nne kufuatia kufungwa mechi zote tatu za awali wakifungwa 1-0 na Petro de Luanda ya Angola Dar ea Salaam, 2-1 na Stade Malien nchini Mali na 1-0 na Esperance nchini Tunisia.
Baada ya mchezo huo, Simba SC inasafiri kwenda Angola kuwafuata Petro de Luanda kwa mchezo wa marudiano kati ya Februari 6 na 8 Uwanja wa 11 de Novembro Jijini Luanda.
Esperance ambao kwa sare ya leo wanafikisha pointi sita — mchezo ujao watakuwa wageni wa Stade Malien Jijini Bamako kati ya Februari 6 na 8.
Ikumbukwe mechi nyingine ya Kundi D jana Petro de Luanda walilazimishwa sare ya bila mabao na Stade Malien Uwanja wa 11 de Novembro, Luanda.
Matokeo hayo yanamaanisha Stade Malien inaendelea kuongoza Kundi D kwa pointi zake nane, ikifuafiwa na Esperance pointi sita, Petro de Luanda pointi tano na Simba SC yenye pointi moja mkiani.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/86ouMAJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC YAAMBULIA SARE, 2-2 NA ESPERANCE DAR. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/02/simba-sc-yaambulia-sare-2-2-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.