NDOTO za Yanga SC kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeyeyuka leo licha ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Kabylie katika mchezo wa mwisho wa Kundi B usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga imezidiwa kete na AS FAR Rabat ya Morocco iliyomaliza na pointi tisa katika nafasi ya pili ya Kundi B, moja zaidi ya Yanga baada ya sare ya bila mabao na wenyeji, Al Ahly usiku huu Uwanja wa Cairo International Jijini Cairo, Misri.
Mabao ya Yanga katika mchezo wa leo yamefungwa na mshambuliaji Muangola, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’ la kwanza kwa penalti dakika ya 36 na la pili dakika ya 63, kabla ya beki Mkongo Chadrack Issaka Boka kufunga la tatu dakika ya 65.
Baada ya matokeo hayo, Al Ahly inamaliza kileleni mwa Kundi C na pointi zake 10, ikifuatiwa na AS FAR Rabat tisa na Yanga nane — wakati JS Kabylie inamaliza mkiani na pointi zake tatu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/71MQnSt
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC YAWACHAPA WAARABU 3-0, LAKINI NDIYO HIVYO!. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/02/yanga-sc-yawachapa-waarabu-3-0-lakini.html. Terimakasih atas perhatiannya.