TIMU ya Azam FC imetoka nyuma na kushinda mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na beki Lusajo Elukaga Mwaikenda dakika ya 42, winga Iddi Suleiman Ally 'Nado' dakika ya 58, kiungo Nassor Yahya Kapama aliyejifunga dakika ya 83 na mshambuliaji Mcolombia, Jhonier Alfonso Blanco Yus dakika ya 87.
Kwa upande wa wenyeji, Kagera Sugar walipata mabao yao kupitia kwa wachezaji wa nafasi ya kiungo Hija Shamte Lidah dakika ya na 26 na Kassim Ibrahim Feka dakika ya 61.
Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 54 na kurejea nafasi ya tatu ikiizidi pointi moja Singida Black Stars baada ya wote kucheza mechi 27, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake 22 za mechi 27 pia nafasi ya 15.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/6251jEM
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/azam-fc-yatoka-nyuma-na-kuichapa-kagera.html. Terimakasih atas perhatiannya.