MABINGWA watetezi, Yanga SC watasafiri hadi Tanga kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya JKT Tanzania kati ya Mei 16 na Mei 18 Uwanja wa Mkwakwani.
Nusu Fainali nyingine ya michuano hiyo iliyo katika mwaka wa pili wa udhamini wa Benki ya CRDB itazikutanisha Simba na Singida Black Stars Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
Yanga walitinga Nusu Fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi ya Stand United jana Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Kwa upande wao JKT Tanzania iliitoa Pamba Jiji FC ya Mwanza juzi kwa kuichapa mabao 3-1 Uwanja wa Meja Jenerali Charles Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
Simba SC ilifungua milango ya Nusu Fainali kwa kuitupa nje Mbeya City kwa kuichapa mabao 3-1 Jumapili Uwanja wa KMC na Singida Black Stars iliitoa Kagera Sugar kwa kuifunga mabao 2-0 Uwanja wa CCM LITI mjini Singida juzi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/20eITrB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/yanga-na-jkt-tanga-simba-na-singida.html. Terimakasih atas perhatiannya.