TIMU ya Mtibwa Sugar imejihakikishia kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya msimu mmoja tu licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na Big Man FC jana Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.
Matokeo hayo yanaifanya Mtibwa Sugar ifikishe pointi 67 katika mechi ya 28, ambazo ni Mbeya City pekee inaweza kufikisha ikiwa itashinda mechi zake zote mbili za mwisho – hivyo imejihakikishia kuwa moja ya timu mbili zinazopanda Ligi Kuu.
Big Man inabaki na pointi zake 46 nafasi ya saba ikiwa bado kwenye mawindo ya kupanda Ligi Kuu kupitia Play-Off.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/pDMQUTy
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms