WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Pamba Jiji walianza kupata bao kwa penalti likifungwa na mshambuliaji Mkenya, Mathew Tegisi Momanyi dakika ya 22, kabla ya kiungo Mrundi mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Elie Eldhino Mokono kuisawazishia Fountain Gate dakika ya 61.
Kwa matokeo hayo, Pamba Jiji inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya 10, huku Fountain Gate ikifikisha pointi 29 na inabaki nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 26.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/o9PMGzr
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PAMBA JIJI NA FOUNTAIN GATE HAKUNA MBABE, 1-1 KIRUMBA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/pamba-jiji-na-fountain-gate-hakuna.html. Terimakasih atas perhatiannya.