WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Mabao ya KMC yamefungwa na Shaaban Chilunda mawili dakika ya 42 kwa penalti na 67 na Msomali, Ibrahim Elias dakika ya 55, wakati ya Tanzania Prisons yote yamefungwa na Haroun Chanongo dakika ya 64 na 83.
Kwa ushindi huo, KMC wanafikisha pointi 27 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 18 nafasi ya 15 kwenye Ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 24.
Ikumbukwe mwisho wa msimu timu mbili zitashuka Daraja na mbili nyingine zitakazomaliza nafasi ya 14 na 13 zitamenyana baina yao na mshindi wa jumla atasalia Ligi Kuu.
Timu itakayofungwa itakwenda kumenyana na timu ya Championship kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/BO0v6q1
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KMC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-2 MWENGE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/kmc-yaichapa-tanzania-prisons-3-2-mwenge.html. Terimakasih atas perhatiannya.