TANZANIA jana imefungwa mabao 3-2 na wenyeji, Morocco katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya Futsal kwa Wanawake Afrika Uwanja wa Salle Moulay Abdellah Jijiji Rabat.
Mabao ya Morocco yalifungwa na El Madani dakika ya 19, Korrych dakika ya 33 na Demraoui dakika ya 39, wakati ya Tanzania yalifungwa na Anastasia Antony Katunzi dakika ya tatu na na Jamila Rajab Mnunduka dakika ya 15.
Kipa wa Tanzania, Naijat Idrisa Bakari alichaguliwa mchezaji bora baada ya mchezo huo wa Fainali.
Pamoja na kufungwa katika mchezo wa Fainali, Tanzania nayo imeumgana na Morocco kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za Futsal zitakazofanyika nchini Philippines kuanzia Novemba 21 hadi Desemba 7, mwaka huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/dyIK1pg
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TANZANIA YACHAPWA 3-2 NA MOROCCO FAINALINYA FUTSAL AFRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/tanzania-yachapwa-3-2-na-morocco.html. Terimakasih atas perhatiannya.