MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee leo, kiungo Muivory Coast, Peodoh Pacome Zouzoua kwa kichwa dakika ya 34 akimalizia krosi ya beki Israel Patrick Mwenda kutoka upande wa kulia.
Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 64 katika mchezo wa 24 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi saba zaidi ya watani wao, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.
Kwa upande wao Coastal Union baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao 25 za mechi 25 sasa nafasi ya 13 kwenye Ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka daraja.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/1n9i82D
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms