TANZANIA imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya Umri wa miaka 20 baada ya kuchapwa bao 1–0 na Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi A leo Uwanja wa Suez Canal Jijini Ismailia nchini Misri inakofanyika michuano hiyo.
Bao pekee la Amajita lililoizamisha Ngorongoro Heroes limefungwa na Shakeel April wa Cape Town City dakika ya 27 akimalizia kazi nzuri ya Mogamat Faiz Abrahams wa Stellenbosch, wote viungo.
Ngorongoro Heroes itashuka tena dimbani Mei 3 kumenyana na Sierra Leone, kabla ya kucheza na Zambia Mei 6 na kukamilisha mechi zake za Kundi A Mei 9 kwa kumenyana na wenyeji, Misri.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/iGLd5n1
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TANZANIA YAANZA VIBAYA AFCON U20, YACHAPWA 1-0 NA AMAJITA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2025/04/tanzania-yaanza-vibaya-afcon-u20.html. Terimakasih atas perhatiannya.