TIMU ya Misri imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya mabingwa watetezi, Ivory Coast usiku wa jana Uwanja wa Adrar mjini Agadir nchini Morocco.
Mabao ya Mafarao jana yamefungwa na mshambuliaji, Omar Khaled Mohamed Abdelsalam Marmoush wa Manchester City dakika ya nne, beki Ramy Hisham Abdel Aziz Mostafa Rabia wa Al Ain ya Falme za Kiarabu (UAE) dakika ya 32 na kiungo mshambuliaji, Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly wa Liverpool dakika ya 52.
Kwa upande wao mabingwa wa Fainali za 2023 nyumbani, Ivory Coast mabao yao yalifungwa na beki wa kushoto wa Zamalek, Ahmed Mohamed Abou El Fotouh Mohamed aliyejifunga dakika ya 40 na beki wa kulia wa Strasbourg ya Ufaransa alikozaliwa dakika ya 73.
Kwa matokeo hayo, Misri itakutana na Senegal katika Nusu Fainali Jumatano ya Januari 14 kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Tangier Grand mjini Tangier, wakati Nusu Fainali nyingine wenyeji, Morocco watamenyana na Nigeria siku hiyo hiyo kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Prince Moulay Abdellah Jijini Rabat.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/FvKJiVE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms