
TIMU ya Nigeria imefanikiwa kutwaa nafasi ya tatu katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa ushindi wa penalti 4-2 kufuatia sare ya bila mabao ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Mohammed V Jijini Casablanca nchini Morocco.
Shujaa wa Super Eagles leo ni mlinda mlango wa Chippa United ya Afrika Kusini, Stanley Bobo Nwabali ambaye anatajwa kuwaniwa na Simba SC ya Tanzania aliyeokoa penalti mbili mfululizo za nyota wa Ligi Kuu ya England, Mohamed Salah wa Liverpool na Omar Marmoush wa Manchester City.
Waliofunga penalti za Mafarao wa Misri leo ni beki wa kati wa Al Ain ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ramy Rabia na kiungo Mahmoud Saber anayecheza kwa mkopo ZED kutoka Pyramids FC, zote za Misri.
Waliofunga penalti za Super Eagles ni Akor Adams wa Sevilla ya Hispania, Moses Simon wa Paris FC ya Ufaransa, Alex Iwobi wa Fulham ya England na Ademola Lookman wa Atalanta ya Italia.
Kipa wa Al Ahly ya Misri, Mostafa Shobeir alifungua vizuri zoezi la mikwaju ya penalti kwa kuokoa shuti la kiungo wa Lazio ya Italia, Oluwafisayo Dele-Bashiru - lakini bahati mbaya Salah na Marmoush wakakosa mfululizo penalti mbili za mwanzo za Mafarao.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/S65zdTY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms