
WENYEJI, Morocco wamefanikiwa kwenda Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Nigeria kufuatia sare ya bila mabao ndani ya dakika 120 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Prince Moulay Abdellah Jijini Rabat.
Shujaa wa Simba wa Atlasi ni kipa wa Al Hilal ya Saudi Arabia, Yacine "Bono" Bounou aliyeokoa mikwaju ya penalti ya winga wa AC Milan ya Italia, Samuel Chimerenka Chukwueze anayecheza kwa mkopo Fulham ya England na beki wa kushoto wa Olympiacos ya Ugiriki, Sopuruchukwu Bruno Onyemaechi.
Waliofunga penalti za Super Eagles ni mshambuliaji wa Trabzonspor ya Uturuki, Ebere Paul Onuachu na kiungo wa Lazio ya Italia, Oluwafisayo Faruq "Fisayo" Dele-Bashiru.
Waliofunga penalti za Morocco ni viungo, Neil Yoni El Aynaoui wa AS Roma ya Italia, Eliesse Ben Seghir wa Bayer Leverkusen ya Ujerumani, beki wa kulia, Achraf Hakimi Mouh wa Paris Saint-Germain ya Ufaransa na mshambuliaji, Youssef En-Nesyri wa Fenerbahçe S.K. ya Uturuki, huku mshambuliaji wa Lille ya Ufaransa, Hamza Igamane pekee akikosa.
Morocco sasa watakutana na Senegal ambao mapema jana walitoa Misri kwa kuifunga 1-0 katika mchezo mwingine wa Nusu Fainali .
Fainali itapigwa Jumapili ya Januari 18 Jijini Rabat baada ya mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati ya Misri na Nigeria Jumamosi Januari 17 Jijini Casablanca.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/bY30k1u
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MOROCCO YAITOA NIGERIA KWA MATUTA, BONO SHUJAA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/01/morocco-yaitoa-nigeria-kwa-matuta-bono.html. Terimakasih atas perhatiannya.