KLABU ya Yanga imempa mkono wa kwaheri Kocha wake Maaidizi, Filipe Duarte da Silva Pedro baada ya miezi miwili na ushei tangu awasili na nafasi yake inachukuliwa na Mreno mwingine, Marques Pereira Da Silva.
Filipe Pedro aliwasili Yanga kwa pamoja na Kocha Mkuu, Mreno mwenzake, Pedro Valdemar Soares Gonçalves Oktoba 25 mwaka jana.
Ni uamuzi wa ghafla unaokuja siku chache baada ya Yanga kutwaa Kombe la Mapinduzi wakiiifuga Azam FC kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 Jumanne Januari 13 Uwanja wa Gombani, Pemba.
Taarifa mbili za Yanga zimeambatana jioni hii — kuondoka kwa Pedro na ujio wa Da Silva ambaye ni Msaidizi wa pili pamoja na Mmalawi, Patrick Mabedi ambaye yupo hata kabla ya ujio wa Kocha Mkuu, Pedro Gonçalves.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/BAhqVg2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms